Rais
Jakaya Kikwete ameongozi taifa katika maadhimisho ya miaka 30 ya
kifo cha Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine katika maadhimisho
yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu tarehe 12/4/ 2014 ,Monduli Juu.
Pichani ni juu Rais
Jakaya Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa
Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakati wa kumbukumbu ya miaka 30 tangu kifo
chake.
Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa akiweka shada la maua
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa akiweka shada la maua
katika Kaburi la marehemu, Edward Moringe Sokoine.
Spika wa Bunge Anne Makinda akiweka shada la maua.
Mjumbe wa Bunge la Katiba Paul Kimiti akiweka shada la maua kwaniaba ya wajumbe wenzake.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akishiriki misa
maalum ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania
Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika nyumbani kwake Monduli. Kulia kwake
ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenera Mkungara, na
mtoto wa Marehemu sokoine Ndugu Joseph Sokoine
Viongozi mbalimbali wakishiriki katika Misa maalum ya kumuombea Marehemu.
Rais Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge Anne Makinda.
0 comments:
Post a Comment