

![]() |
| Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa habari wakiwa katika Boti maalumu kwa ajili ya safafri ya kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane jijini Mwanza. |

![]() |
| Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,TANAPA,Pascal Shelutete alikuwa ni miongoni mwa wahifadhi walioongoza kundi hilo la Wahariri na Wanahabari kuelekea hifadhi ya Saanane. |

![]() |
| Baada ya safafri ya takribani dakika 10 hatimaye Wahariri na Wanahabari wakawasili hifadhi ya Taifa ya Saaanane. |
![]() |
| Safari ya kutembelea maeneo mbalimbali katika hifadhi hiyo ilianza. |
![]() |
| Wahariri walipata maelezo katika maeneo tofauti tofauti. |
![]() |
| Wakati mwingine katika mapitio ndani ya Hifadhi hiyo,wahariri na wanahabari walilazimika kupita kwa staili ya kutambaa. |
![]() |
| Wengine walihitaji pia msaada ili waweze kuvuka kwa baadhi ya maeneo . |
![]() |
| Baada ya safari ya muda mrefu ,ndipo wakafika katika jiwe la kuruka na kuamua kupumzika. |
![]() |
| Mazoezi ya kuruka yakaanza sasa. |
![]() |
| Mhariri wa Channel ten Esther Zeramula akionesha umahiri katika kuruka katika eneo hilo. |
![]() |
| Mhariri Jackton Manyerere pia hakua nyuma kuonesha umahiri wake. |
![]() |
| Mhariri Mniku Mbani pia . |
![]() |
| Wengine tukapata picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu. |
![]() |
| Safari ya kurudi ikaanza kwa kundi la kwanza la Wahariri.. |
![]() |
| Wakati huo kundi la pili ndio lilikuwa likiwasili katika eneo hilo. |
![]() |
| Baada ya kufika taswiraz zikaanza kuchukuliwa ,kama inavyoonekana hapa mhariri Dulinga akimchukua taswira mhariri Theofily Makunga. |
![]() |
| Pozi za picha nazo hazikuwa mbali kwa baadhi ya wahariri. |
![]() |
| Picha zaidi muelekeo wa ziwani. |
![]() |
| Wahariri wakaoneshana umahiri katika kuruka . |
![]() |
| Kama iliyokuwa kwa kundi la kwanza hawa nao wakapata picha ya pamoja. |
![]() |
| Kisha safari ya kurudi ikaanza huku wakifurahia Mandhari ya ziwa Victoria. Na Dixon Busagaga wa Globuya Jamii Kanda ya Kaskazinia aliyeko jijini Mwanza. |




























0 comments:
Post a Comment