Mkurugenzi
wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje
ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel akiongea na Mwanafunzi ambae aliambatana
na wazazi wake (kulia) kupata huduma ya vyuo vya nje ya nchi katika
ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Bw. Sourabh Chaudhary ambaye Meneja Miradi wa Chuo
Kikuu cha Lovely cha nchini India na
Afisa
Masoko wa GEL, Bi. Regina Lema.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Mkurugenzi
wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje
ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel akiongea na wanafunzi ambao waliambatana
na wazazi wao (kulia) kupata huduma ya vyuo vya nje ya nchi katika
ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mejena Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely cha nchini India, Bw. Sourabh Chaudhary akitoa ufafanuzi wa kina juu ya huduma zinazotolewa na chuo chao.
Afisa
Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya
nchi, Bi. Regina Lema akihudumia wateja waliohudhuria katika
ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.
Msimamizi wa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi,
Bw. Haroun Weggoro akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao
iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa
Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya
nchi, Bi. Jacquline Mbise akihudumia wateja waliohudhuria katika
ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi,
Bw. Makungu Joseph akiwa na Mhasibu wa GEL, Bw. Ramadhani Ngereza wakiwasikiliza wateja waliohudhuria katika ofisi yao
iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Kanda wa Chuo Kikuu cha Sharda cha nchini India, Bw. Deepak Kaushik
akitoa maelezo machache kwa wateja waliotembelea ofisi za GEL zilizopo
ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba
yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Meneja
Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely Professional cha Nchini India, Bw.
Gulshan Sandhu akiongea na Principal Academic Officer wa Chuo cha IFM
cha jijini Dar es Salaam mara baada ya kukutana nae ndani ya ofisi za
GEL zilizopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba
yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bi. Saada Selemani akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa
anayeshughulikia Pasipoti na Visa kwa wanafunzi wanaosafiri nje ya
nchi, Bw. Emmanuel Mbena akimsimamia mmoja ya wanafunzi kujaza fomu kwa
ajili ya maombi ya kupata pasipoti ili aweze kusafiki kwenda masomoni.
Secretary
wa GEL, Bi. Zamda Mwinyiheri akiwapokea wageni na kuwapa kitabu cha
kujiandikisha wageni waliotembelea ofisi zao zilizopo ndani ya maonyesho
ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mhasibu wa GEL, Bw. Ramadhani Ngeleza akimuelezea mteja wanavyotoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya nje katika ofisi yao
iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Wageni
wakitoka ndani ya ofisi za GEL zilizopo ndani ya maonyesho ya 39 ya
Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
---
Wazazi na wanafunzi waliotembelea Global
Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi wamefurahishwa
na huduma zao wa kuwapatia vyuo bora vilivyokidhi viwango vya
kimataifa.
Akizungumza mmoja ya wazazi mara baada ya kufika ofisi
za GEL zilizopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
wamesema wamefurahishwa na mapokezi ikiwemo vijana wenye kujituma kutoa
huduma bora zinazomfanya mzazi anayefika na mtoto wake apate maelezo ya
kina.
"Nikiwa
kama mzazi niliyefika GEL kujipatia huduma ya chuo kikuu cha nje ya
nchi, nimefurahishwa na huduma wanazotoa kwa vile zinakidhi viwango vya
kimataifa zinamfanya mzazi anapotoa atambue mwanae pindi anapomaliza
shule ya sekondari asome nini," Alisema mmoja ya wazazi aliyefika.
Mzazi
huyo aliongeza kuwa wakati akifika ofisi hizo hakuwa anajua mwanae
asome nini atakapomaliza shule ya sekondari ilia baada ya kufika ametoka
na mawazo mapya yatakavyomjengea uwezo mwanae afanye vizuri zaidi.
0 comments:
Post a Comment