MAANDAMANO YA AMANI YA CHADEMA KWA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA, BAADA YA KUSHINDA UDIWANI KATIKA KATA NNE.

 Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. 
 Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika maandamano ya amani ya madiwani wapya na viongozi kwenda kumpongeza Mkurugenzi wa jiji kwa kusimamia uchaguzi vizuri
 Lema akiwa na madiwani wapya wakiingia katika jengo la Halmashauri ili kuonana na Mkurugenzi wa jiji  la Arusha. Kwa hisani ya Wazalendo25 Blog
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: