WANAWAKE JUU : MBONI MHITA APOKEA HATI YA HESHIMA KUTOKA EQUADOR

Mboni Mhita Asema "Wakati dunia bado inahuzunika na kuondokewa na Mzee Mandela...mimi nilikuwa napokea hati ya heshima.....hati ya kutambua mchango wa Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alioutoa katika kupambania uhuru wa nchi za africa. Hii hati imetolewa Equador". Kila la Heri kwake, mwanamke wa ukweli...
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: