| Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa na wapambe wao katika pozi la kuchukua Taswira. |
![]() |
| Taswiras katika maeneo mbalimbali ya Ngurdoto Mountain Lodge. |

| Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa amebebwa na wapambe wa Bi Harusi. |
![]() |
| Bi Harusi Anande Nnko akiwa amebebwa na Bwana Harusi pamoja na wapambe wake. |

| Pozi tofauti za Maharusi. |
| Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wazizi wa Bi Harusi Anande Nnko pamoja na ndugu zao. |
| Maharusi wakiwa na Mzee Edwin Mtei pamoja na Mama Mtei. |
| Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa katika pozi la picha na wazazi wake. |
| Mbunge wa viti maalum Lucy Owenya pia alihakikisha na yeye anakuwa kwenye kumbukumbu za Picha ,Baada ya picha safari ilikuwa ni ya kuelekea Ukumbini yote utayaona hapa hapa. |


0 comments:
Post a Comment