MWANAHABARI MKONGWE ,MAREHEMU DAVID MAJEBELE AZIKWA KINONDONI DAR ES SALAAM





 Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle likiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa ibada.
 Ibada ya kumuimbea marehemu David Majebelle ikiendelea kanisani.
 Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle ukishushwa kaburini.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kushoto), akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu David Michael Majebele, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinodoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Majebele ambaye ni mwanahabari mkongwe alifariki Jumapili iliyopita. 
Familia ya marehemu David Michael Majebele, wakiweka mashada ya maua katika kaburi, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinodnoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Majebele ambaye ni mwanahabari mkongwe alifariki Jumapili iliyopita.Picha na Michuzi Blog
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: