MTANZANIA IDRIS SULTAN ASHINDA shindano la Big Brother ‘hotshots’ aondoka na dola elfu 300 za kimarekani

*Mshiriki wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II.*
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: