MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na
gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa
king'amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat
screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers
wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa, Championi na
Ijumaa Wikienda.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
0 comments:
Post a Comment