
Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao
Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wagteni wao
kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York
na University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo
hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala
mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo
Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini
Marekani.

Mtemvu
akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto
wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke

Profesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada
ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya, Sophia Mjema, wa pili
kushoto,

Mkuu huyo wa wilaya akizungumza

Ugeni
huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke leo

Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na
Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa
mkurugenzi huyo leo

Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke

Wanahisa
wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP, wakiulaki ugeni wa
Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP leo


Profesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo wa PFT

Binti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huo

Mtemvu
na ugeni wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Mfuko wa PFT
baada ya mazungumzo ya kubadilishana uzoefu wa anamna ya kuondoa
aumasikini katika jamii

Mkurugenzi
wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, akiwa na baadhi ya wanafunzi kutoka
vyuo vikuu hivyo ya Marekani ambao ni miongozi mwa waliokuwa katika
ugeni huo wa Mtemvu, hapa ilikuwa kwenye ofisi za PFT.

Mbunge wa Temeke, Mtemvu akipata chakula cha mchana na ugeni wake katika hoteli ndani ya jengo la Quality Centre

Maofisa katika Ofisi ya Mbunge wa Temeke, wakaiwa kwenye hoteli wakati wa chakula hicho cha mchana.

Polisi
wa usalama barabarani akiongoza msafara wa ugeni huo kutoka Quality
Plaza kwenda Hispitali ya Rufani ya mkoa wa Temeke kuendelea na ziara

Ugeni ukipata maelezo mbalimbali katika ukumbi wa hospitali hiyo

Msafara
ukitoka ukimbini baada ya mazungumzo hao. Kulia ni Mgaga mfawidhi wa
hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke, Dk. Amaani Malima

Dk. Malima akitoa maelezo kwa wageni hao katika chumba cha kujifungulia kwa upasuaji

Dk. Malima akiendelea kutoa maelezo kwa ugeni huo

Binti wa Mtemvu Sitti Mtemvu akigawa chandarua kwa Devota Boniface, mama mzazi aliyejifungua katika hospitali hiyo ya Temeke.,

Mtemvu
akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali hiyo ya Temeke.
Kulia ni Mgaganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke, Dk. Sylvia Mamkwe.


Mmoja
wa wageni kutoka Marekani Leanne Thomas wa State University of Buffalo,
akifurahia kuchezea nyoka wakati kikundi cha ngoma cha Sanaa cha Hisiaa
Theatre Group kwenye kituo hicho cha yatima, Kurasini

Mtemvu akijitwisha nyoka kujaribu kama walivyokuwa wakifanya wasanii wa kikundi hicho cha sanaa

Profesa Dan Nyaronga naye akijitwisha nyoka

Mmmoja wa wageni hao kutoka Marekani akishangilia baada ya kubebeshwa nyoka na wasanii wa kikundi hicho cha ngoma

Mmoja wa wanafunzi akibeba nyoka ya wasanii hao

Mtemvu, mkewe na mtoto wao Sitti wakifurahia kubeba nyoka wa kikundi hicho cha sanaa

Mtemvu na msafara wake wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kikundi hicho cha sanaa

Mama
mlenzi wa kituo cha Makao ya watoto wenye shida cha Kurasini, Betrice
Mgumiro akizungumza wakati Mtemvu na ugeni wake walipitembelea kituo
hicho

Sitti Mtemvu akimkabidhi chandarua mtoto kwenye kituo hicho cha Makao cha watoto wenye shida

Profesa Dan akikabidhi chandarua kwa watoto wa kituo hicho

Laurien Martinek wa Marekani ambaye yupo katika msafara huo wakigawa chandarua kwa Fatuma Jabiri wa kikundi hicho cha sanaa

Mdau wa maendeleo jimbo la Temeke, Fion Barretto akigawa chandarua kwa msanii huyo

Sitti akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliogawiwa chandarua

Mtoto
Baraka Rashid, kutoka kituo cha watoto wenye shida cha Kurasini akitoa
shukrani baada ya ugeni kugawa vyandarua kwa watoto kadhaa

Ugeni ukionyeshwa mifungo kwenye kituo cha watoto yatima kwa ajili ya kitoweo

Mmoja
wa wageni hao akichukulia ndani ya jengo ambalo limebaki gofu kutokana
na kutokuwa na vifaa mbalimbali vya kujifundishia ufundi ikiwemo
vyerehani. Picha zote na Khamisi Mussa
0 comments:
Post a Comment