UWIZI WA MITANDAO -MJADALA

*Mijadala ihusuyo maswala ya usalama mtandao imeendelea katka ngazi mbali mbali. July 6 ya Mwaka huu wa 2014 Yusuph Kileo alipata kushiriki na wataalam wengine wa ndani kujadili maswala mbali mbali yahusuyo usalama mtandao nchini. Mjadala ulihusisha mkusanyiko wa taarifa mbali mbali za kiusalama mitandao kutoka katika mataifa mengine pamoja na mwelekeo wa kukabiliana na uhalifu mtandao katika mataifa mbali mbali Duniani.
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: