MHE. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MADC, MARC NA MARAS BUNGENI MJINI DODOMA

IMG_0030Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakinukuu maelekezo ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. IMG_0037Baadhi ya Wakuu wa  Wilaya wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma  Juni 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0050Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma. IMG_0055Waziri Mkuu MizengoPinda akihutubia wakati alipofungua  Mafunzo  ya Kujenga Uwezo kwa Wakuu wa Wilaya , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma. IMG_0118Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa mkuranga na  Waziri wa Kilimo na Ushirika, Adam Malima, Bungeni mjini Dodoma. IMG_0143Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wabunge, Bungeni Mjini Dodoma. IMG_0149Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Wabunge Mary Chatanda wa Viti Maalum (kushoto)  na  Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. IMG_0150Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Wabunge Mary Chatanda wa Viti Maalum (kushoo)  na  Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. IMG_0161Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto) na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi  Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013.
IMG_0164Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (kushoto)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. IMG_0177Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Sumbawanga, Aeshi  Hillaly kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: