MIZENGO PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu , Mizengo  Pinda akimwongoza Mfalme Muswati  wa Swaziland kutembelea abanda ya maonyesho baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho ya kimataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013.
Mfalme Muswati wa Swazilanda (kulia) na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: