Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George
Simbachawene, (kulia),akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, Mwenyekiti wa Wakuu wa Wilaya Wastaafu, Ramadhan
Maneno, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao,
iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri
Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI),
George
Simbachawene, (kulia),akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Jackline Liana, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao,
iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri
Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
Waziri Simbachawene akitoa hotuba yake
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI),
George
Simbachawene, (kulia),akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Gerald Guninita, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao,
iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri
Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, akitoa hotuba yake
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba yake
kuelezea huduma na fursa mbalimbali zilizopo kwenye Mfuko, wakati wa
Mafunzo hayo
Mkurugenzi
Mkuu mstaafu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU),
Dkt. Edward Hosea, ambaye pia ni Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, akifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo kwa wakuu wa wilaya
wastaafu
Baadhi ya washiriki
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF, akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.
Ashantu Kijaji kupitia mpango wa PSS
Maafisa wa PSPF, wakifuatilia mafunzo hayo
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, (kulia), akiongozana
na Meneja Masoko, na Mawasiliano wa PSPF, Costantina Martin, wakati wa
mapumziko
Waziri Simbachawene akitoa hotuba yake
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI),
George
Simbachawene, (katikati), akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa
Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, Katibu wa Wakuu wa Wilaya Mstaafu, Betty Mkwasa,
mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao,
iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri
Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI),
George
Simbachawene, (kulia),akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko
wa Pensheni wa PSPF, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Gerald Guninita, mara baada ya kufungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wakuu hao,
iliyoandaliwa na PSPF jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2016. Waziri
Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Katikati ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi
Mkuu wa wilaya mstaafu Manju Msambya, akitoa neno la shukrani
Waziri Simbachawene, akkimsikiliza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Manzie Omar Mangochie(kulia)
Washiriki wakifuatilia kwa kusoma vipeperushi na kusikiliza
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (katikati), akizungumza
na waandishi wa habari, mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili kwa wakuu
wa wilaya wastaafu iliyoandaliwa na PSPF na kufanyika Agosti 15, 2016. Waziri
Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Wenine pichani kutoka kushoto ni
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji,Mwenyekiti wa Wakuu haoi
wa Wilaya wastaafu, Ramadhan Maneno, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF,
George Yambesi, na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu.
Mtaalamu wa Saikolojia Dkt. Chris Mauki, akitoa mada juu ya kudhibiti Stress
Picha ya pamoja na viongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF
Picha
ya pamoja ya mgeni rasmi, viongozi wa PSPF, Naibu Waziri wa Fedha na
Mipango na kamati tendaji ya wakuu wa wilaya wastaafu
Wakurugeni wa PSPF
Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji, Beng' Issa, akitoa mada juu ya fursa zilizopo za uwezeshaji kwa watanzania
Dkt. Kijaji akiteta jambo na Mkuu wa wilaya mstaafu, Betty Mkwasa |
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia), akifurahia
jambo baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia
Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi. Waziri Simbachawene, alijiunga na Mfuko
huo mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili ya ujasiriamali kwa wakuu wa
wilaya wastaafu na maafisa wastaafu wa serikali kwa niaba ya Rais John Magufuli
jijini Dar es Salaam Agosti 15, 2016.
0 comments:
Post a Comment