AIRTEL NI MTANDAO MKUBWA....BABA LAO....!!!!

Airtel Bwana....!!!BABA LAO...!!!nasuburia Nyumba kwa hali na mali, ndio maana ninaonyesha Hazina zangu za bundle ya kila siku katika modem yangu. pili ninawashangaa wanaosema BLOGU ni bure.............??? BURE kuanzisha au BURE kuendesha??? nadhani hao wanaosema hivo hawajui maana ya INTERNET na inapatikana vipi na ili uweze kuendesha BLOGU unatakiwa utumie nini...???



Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: