Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Kamati ya Uandishi wa Taarifa za Serikali IKULU Zanzibar


ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: