Mbuge
wa Jimbo la Shinyanga mjini na Naibu Wa Nishati na Madini,Mh Steven
Masele akizungumza na sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika
kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika
kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Mh Steven amewataka vijana wa
Shinyanga kuwa na moyo wa kujituma na kuzifanyia kazi ipasavyo fursa
wanazokumbana nazo bila kukata tamaa,ameeleza kuwa hivu karibuni mkoa
huo,unatarajia kufungua viwanda kadhaa,ambapo anaamini kuanzia fursa ya
kupata ajira kwa vijana itaongezeka.
Meneja
Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Maxmalipo,Bernard Munubi akizungumza
kwenye semina ya Kamata Fursa Twendzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala
mbalimbali yanayofanywa na kampuni yake katika kusaidia huduma za
jamii,ndani ya ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.
sehemu
ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya
Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga
Vijana Center.
Mkurugezi wa Vipindi na
Uzalishaji Kutoka Clouds Media Groug,Ruge Mutahaba akizungumza sehemu ya wakazi
wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa
vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Ruge pia
amefunga semina hiyo ya fursa kwa vijana mapema loe mchana,ambayo imekuwa
ikiandaliwa na kampuni ya Clouds Media,Semina hiyo imefanyika ndani ya
mikoa takribani zadi ya kumi ikiwemo
Kigoma,Singida,Tabora,Mtwara,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Iringa,Bukoba na sasa
ndani ya mkoa wa Shinyanga.
sehemu
ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya
Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika kwenye ukumbi wa Shinyanga
Vijana Center.
Wengine tena ndio hivyo teena,fursaaa fursaaaaa.
Sehemu ya meza kuu ikifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa ukumbini humo.
Wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini.
Mtangazaji
wa Clouds FM,Shaffih Dauda akitoa mada ya fursa ndani ya michezo na
changamoto zake,lakini pia namna ya kukabiliana nazo kiasi hata kupata
mafanikio kwa namna moja ama nyingine,
Mwakalilishi kutoka TPSF,Jane Gonsalves akizungumza
kwenye semina ya Kamata Fursa Twendzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala
mbalimbali ya ujasiliamali kwa vijana ikiwa ni sehemu pia kujiongezea
kipato,semina hiyo imefanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Shinyanga Vijana Center. Kwa Picha zaidi bofya hapa >>>
0 comments:
Post a Comment