DARAJA LA KIGAMBONI LINATARAJIWA KUMALIZIKA 2015

Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya MBEC ya China wakiendelea kusuka nondo katika ujenzi wa Daraja la Kigamboni linalojengwa kwenye Bahari Hindi litakalounganisha eneo la Kigamboni na Kurasini, Dar es Salaam. Ujenzi wa daraja hilo unatarajiwa kumalizika mwaka 2015. Picha na Rafael Lubava.
Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: