DKT. JAKAYA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI, WABUNGE NA WACHEZA FILAMU WAFANIKISHA SHEREHE HIZO

  Dr. Jakaya Kikwete akifungua na kuwaasa Watanzania wasidanganyike na watu wanaotaka kuwatenganisha hasa Kidini, Kisiasa na Kijamii,aliyasema hayo katika Tamasha la Matumaini lililofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari,  Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba yake katika Tamasha la Matumaini lililofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Mwandaaji wa Tamasha la Matumaini Bw. Eric James Shigongo akisema yake machache kuhusu Tamasha la Matumaini lililofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Kikosi cha wabunge wapenzi wa Simba
 Waamuzi na wabunge wapenzi wa Yanga
  Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na refa Othman Kazi
  Dkt. Jakaya Kikwete akiweka saini katika mpira uliochezwa katika na wabunge wa Simba na Yanga katika Tamasha la Matumaini lililofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
  Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na beki tatu wa wabunge wa Simba Mhe. Joshua Nassari.
 MC wa Tamasha la Matumaini Godwin Gondwe a.k.a Double G akiwa katika Tamasha la Matumaini lililofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Millard Ayo a.k.a M.i.l.l.a.r.d- a.y.o wa Clouds FM akirusha vitu live
Tamasha la Matumaini lililofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa picha zaidi Bofya hapa >>>

Share on Google Plus

About Gadiola Emanuel

0 comments: