DKT. JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAJUMBE WAWILI NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAADILI ,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Bw. Hamis Amir Msumi, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Mwenyekiti huyo na Wajumbe wawili, wa Baraza hilo, iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Bi. Hilda Ausi Gondwe, kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Wajumbe wawili na Mwenyekiti, wa Baraza hilo, iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments: